Fanya biashara haraka zaidi na app ya Deriv

Jinsi mchakato wa kamisheni unavyofanya kazi kwa Chaguo za Kidijitali?

Kwa Chaguo za Kidijitali, kamisheni inategemea uwezekano wa malipo wa mikataba ya mteja.

Uwezekano Kamisheni
0–19.999% 1.5%
20–39.999% 1%
40–59.999% 0.75%
60–79.999% 0.5%
80–94.999% 0.4%
95% na juu zaidi 0%