1M+
USD 15T+
USD 45M+
Kuhusu Deriv
Deriv ina rekodi iliyothibitishwa ya kutoa bidhaa zinazoongoza soko ambazo zinaaminika ulimwenguni kote.
Tunatoa uchaguzi mpana zaidi wa derivatives za biashara, kwa bei ya juu na tight spreads ambapo huvutia zaidi ya wafanyabiashara milioni 2.5 mtandaoni ulimwenguni kote. Teknolojia yetu hutoa uzoefu wa biashara wenye mantiki na nguvu, ikiwezesha wateja wetu kuelewa hatari kwa ufanisi zaidi ili kufanya maamuzi ya biashara yaliyo bora zaidi.
Kwa nini uwe Mbia wa Deriv
Ushirikiano na nguli anayeaminika
Nufaika na uzoefu wetu mkubwa wa zaidi ya miaka 20 na sifa zetu zinazotambulika kimataifa.
Msaada wa wataalam
Mameneja wa ushirika wenye uzoefu hujibu maswali yako yote na kukupa nyenzo bora za kujiendeleza na elimu.
Hakuna malipo au ada zilizofichwa
Programu zote za ubia na Deriv ni bure kujiunga. Hakuna malipo kabisa au ada zilizofichwa za kuwa na wasiwasi.
Fursa zetu za ubia
Mshirika na IBs
Kwa wauzaji, wahamasishaji na brokers wawakilishi kufaidika kifedha kutokana na mtandao wao. Pata gawio za ushindani na pata nyenzo za utangazaji biashara za hali ya juu.
Mawakala wa malipo
Panua wigo wako wa wateja kwa kuwasaidia wafanyabiashara kuweka pesa kwenye akaunti zao kupitia benki wire za ndani na malipo kwa njia ya kieletroniki. Wezesha na pata kipato kutokana na kila muamala unaofanyika.
API
Tumia teknolojia ya Deriv kuanzisha app yako mwenyewe ya biashara. Toa uzoefu bora wa biashara kwa wateja wako na upate faida kwa kila biashara inayoendeshwa kupitia app yako.
Deriv Prime
Suluhisho maalum la kitaasisi na prime broker kwa mali maarufu zaidi za kifedha ulimwenguni, hakuna gharama za kuanzisha, na ni rahisi kuunganisha.