an image of a street with buildings
A young man using his mobile to sign up with Deriv - a global online trading broker
Biashara kwa

Mtu yeyote
Mahali popote
Wakati wowote

Wigo mpana wa bidhaa, masoko, majukwaa na msaada kwa wateja masaa 24/7.

Fanya biashara kwa kujiamini

Kwa zaidi ya miaka 25, Deriv imekuwa mshirika wa kuaminika kwa wafanyabiashara duniani kote.

Most Trusted
Broker
UF Awards
2024
Broker of the
Year-Global
Finance Magnates 2024
168M+
Biashara za kila mwezi
2.5M+
watumiaji duniani kote
$650B+
kiasi cha kila mwezi
1999
Ilianzishwa tangu
Best Customer
Service - Global
Global Forex
Awards 2024
Most Innovative
Broker
UF Awards
2023

Masoko yako yote mahali pamoja

Forex

Forex

Fanya biashara ya jozi maarufu za sarafu zenye leverage ya juu, tight spreads, na utekelezaji wa haraka.

Jifunze zaidi

Derived Indeksi

Derived Indeksi

Fanya biashara 24/7 kipekee kwenye Sintetiki na Derived Indeksi. Chagua viwango vya mabadiliko vinavyolingana na mkakati wako.

Jifunze zaidi

Hisa

Hisa

Fanya biashara na viongozi wa soko la kimataifa kama Apple, Tesla, na NVIDIA.

Jifunze zaidi

Bidhaa

Bidhaa

Fanya biashara ya madini ya dhahabu, fedha, mafuta, gesi asilia, sukari, na zaidi.

Jifunze zaidi

Cryptos

Cryptos

Fanya biashara muda wote kwenye volatility za cryptocurrencies kama Bitcoin na Ethereum.

Jifunze zaidi

Indeksi Hisa

Indeksi Hisa

Fanya biashara ya bidhaa zinazofuatilia hisa indeksi za juu duniani.

Jifunze zaidi

Fanya biashara kila mchanausiku

Cryptocurrencies na Sintetiki Indeksi zetu za kipekee zinapatikana masaa 24/7.

Fanya biashara jinsi unavyotaka

Nakili wafanyabiashara wataalamu

Nakili wafanyabiashara wataalamu

Kwenye Deriv cTrader, pata utaalamu wa wafanyabiashara wenye uzoefu. Fuata mikakati yao, na uige biashara zao kiotomatiki.

Chunguza Deriv cTrader

Nguvu ya MT5 na biashara 24/7

Nguvu ya MT5 na biashara 24/7

Deriv MT5 inakuletea jukwaa linalopendwa duniani kwa uwanda mpana zaidi wa forex, hisa, bidhaa, cryptocurrencies, na Indices za Derived za kipekee zikiwa na gawio sifuri na biashara isiyokuwa na ada za kubadilishana.

Chunguza Deriv MT5

Maoni bora na chati za TradingView

Maoni bora na chati za TradingView

Deriv X inakupa upatikanaji wa chati za TradingView, zikiwa na zana zaidi ya 110 za kuchambua masoko, kufuatilia mitindo, na kutekeleza biashara mara moja — yote kutoka kwa skrini moja.

Chunguza Deriv X

Malipo yaliyoboreshwa, hasara zilizopunguzwa

Malipo yaliyoboreshwa, hatari ndogo

Kwenye Deriv Trader, hutapoteza zaidi ya kile ulichoweka. Jua hatari yako kubwa mapema unapochagua biashara katika masoko ya kimataifa na viashiria vinavyofanya kazi muda wote.

Chunguza Deriv Trader

Otomatisha biashara zako

Otomatisha biashara zako

Deriv Bot inahakikisha mikakati yako inaendelea kufanya kazi 24/7 kwenye viashiria vya kipekee na masoko ya jadi. Fanya biashara ukiwa unajua hatari iliyobainishwa mapema - hakuna mshangao, hakuna usimbaji unaohitajika.

Chunguza Deriv Bot

Pesa yako, njia yako

Uwekaji pesa wa haraka, utoaji rahisi, na chaguzi zaidi ya 60 za malipo ikiwa na maana kuwa pesa zako zinapatikana kila wakati.

*Upatikanaji wa njia za malipo na kasi ya ushughulikiaji huweza kutofautiana kulingana na eneo na chaguo la malipo lililochaguliwa.

Pata majibu unapohitaji

Hatuna masaa ya kufungua au kufunga. Hii ina maana unaweza kuzungumza na watoa huduma wetu wa Msaada wakati wowote unapohitaji, popote ulipo.