Fikia Cryptos maarufu 24/7

Biashara kwenye bei ya Bitcoin, Ethereum, na cryptocurrencies nyingine maarufu. Inapatikana kila saa kwa tight spreads, utekelezaji wa haraka, na gawio 0%.

An illustration representing crypto trading assets like BTC, ETH, USDT, DOGE, LTC, TRX

Kwa nini ufanye biashara ya Crypto na Deriv

An illustration representing swap free trading on crypto

Biashara ni swap-free, hakuna ada za usiku

Zingatia mabadiliko ya soko bila wasiwasi juu ya malipo ya mkupuo.

An illustration representing trading crypto with controlled risk

Hatari iliyodhibitiwa, fursa zisizo na ukomo

Weka kikomo chako na simamia biashara zako kwa kutumia vipengele vya kuchukua faida na kuzuia hasara.

An illustration representing intuitive trading platforms

Majukwaa yenye ustadi wa kufanya biashara kwa ufanisi

Tembea kwenye masoko kwa urahisi kupitia majukwaa yetu sikivu, rahisi kutumia na yenye zana za hali ya juu. kwa leverage kubwa na tight spreads imara.

An illustration representing easy access to trading funds

Upatikanaji rahisi wa fedha zako

Weka au toa pesa kwa njia ya malipo unayopendelea. Haraka, bila bughudha, vile utakavyo.

An illustration representing 24/7 trading

Biashara 24/7

Ufikiaji wa saa zote kwenye Cryptocurrencies, ikijumuisha wikendi na sikukuu za umma.

0.1

Ukubwa wa chini

1:1000

Kiwango cha juu cha mkopo

0

Ada ya kubadilisha

Vyombo vya Crypto vinavyopatikana kwenye Deriv

Major Coins

Biashara ya cryptocurrency maarufu zaidi

Bitcoin na Ethereum ni sarafu kuu za kidigitali zinazotambuliwa zaidi ambazo mwenendo wake una athari kubwa kwenye mazingira ya crypto. 

Altcoins

Biashara ya sarafu mbadala za crypto

Alt coins ni sawa na cryptocurrencies nyingine isipokuwa Bitcoin na Ethereum.

Jinsi ya kufanya biashara ya Crypto kwenye Deriv

CFDs

Tabiri juu ya mwenendo wa bei za Cryptocurrencies maarufu ukiwa na leverage kubwa na viashiria vya kiufundi vya hali ya juu.

Chaguzi

Tabiri juu ya mwenendo wa soko la Cryptocurrencies bila hatari ya kupoteza dau lako la awali.