Udhibiti wa taarifa
Tangu 1999, makampuni ya Deriv group yanahudumia wafanyabiashara kote ulimwenguni kwa uadilifu na uaminifu. Daima tunajidhatiti katika viwango vya juu vya maadili na mahitaji ya udhibiti.
Hapa kuna kampuni zetu tanzu zenye maelezo yake ya usajili na leseni.
Deriv Investments (Europe) Limited
Deriv Investments (Europe) Limited, ilianzishwa tarehe 22 Aprili 2015 (Kampuni Na. C 70156), iko huko Malta na anwani yake iliyosajiliwa katika Level 3, W Business Centre, Triq Dun Karm, Birkirkara BKR9033, na inasimamiwa na Malta Financial Services Authority chini ya Sheria ya Huduma za Uwekezaji ili kutoa huduma za uwekezaji.
Deriv (FX) Ltd
Deriv (FX) Ltd (Kampuni Na. LL13394), ilianzishwa tarehe 18 Januari 2017, imesajiliwa katika Federal Territory of Labuan (Malaysia) na ofisi yake iliyosajiliwa iko katika anuani Unit No. 3A-16, Level 3A, Labuan Times Square, Jalan Merdeka, 87000, Federal Territory of Labuan, Malaysia. Deriv (FX) Ltd ina leseni na Labuan Financial Services Authority na ni mwanachama wa Labuan Fintech Association.
Deriv (BVI) Ltd
Deriv (BVI) Limited (Kampuni Na. 1841206), ilianzishwa tarehe 15 Septemba 2014, imesajiliwa katika British Virgin Islands na ofisi yake iliyosajiliwa iko Kingston Chambers, P.O. Box 173, Road Town, Tortola British Virgin Islands. Deriv (BVI) Ltd ina leseni ya British Virgin Islands Financial Services Commission.
Deriv (V) Ltd
Deriv (V) Ltd (Kampuni Na. 014556), ilianzishwa tarehe 17 Februari 2016, imesajiliwa katika Republic of Vanuatu na ofisi yake iliyosajiliwa iko 1276, Govant Building, Kumul Highway, Port Vila, Republic of Vanuatu. Deriv (V) Ltd ina leseni na Vanuatu Financial Services Commission na ni mwanachama wa Financial Markets Association.
Deriv (SVG) LLC
Deriv (SVG) LLC (Kampuni Na. 273 LLC 2020), ilianzishwa tarehe 12 Februari 2019, imesajiliwa huko Saint Vincent na Grenadines na ofisi yake iliyosajiliwa iko katika First Floor, SVG Teachers Credit Union Uptown Building, Corner of James and Middle Street, Kingstown P.O., St Vincent and the Grenadines.
Deriv.com Limited
Deriv.com Limited ni kampuni inayojumuisha tanzu zilizo hapo juu ikiwa na nambari ya usajili 71479 na anwani iliyosajiliwa iko katika 2nd Floor, 1 Cornet Street, St Peter Port, Guernsey, GY1 1BZ.
Financial Commission
Tumesajiliwa na Financial Commission, shirika huru la kimataifa lililojitolea kutatua migogoro ndani ya tasnia ya huduma za kifedha.
Kwa utatuzi wa haki wa malalamiko yoyote, tafadhali wasiliana na Usaidizi wetu kwa Wateja.