Uwekaji na utoaji pesa
Tunashughulikia uwekaji na utoaji wako ndani ya masaa 24 (kulingana na njia yako ya malipo na ukaguzi wa ndani). Huenda ikachukua muda mrefu zaidi kwa fedha zako kukufikia kutokana na muda tofauti wa ushughulikiaji wa benki na watoa huduma za malipo.
Hizi ni baadhi ya sababu kwa nini uwekaji wako kwa kutumia kadi ya credit ulikataliwa:
- CVV imefeli. Tafadhali wasiliana na benki yako ili kuangalia.
- Kikomo cha kuweka, tafadhali jaribu tena baada ya saa 1-2 ili kuweka.
- SCA imefeli. Tafadhali wasiliana na benki yako ili kuangalia.
- RCS imekataliwa, idadi inayoruhusiwa ya kadi imezidi. Tafadhali wasiliana na benki yako ili kuangalia.
Ikiwa unahitaji msaada, tafadhali wasiliana na timu yetu ya huduma kwa wateja kupitia gumzo kwenye tovuti yetu.
Ubadilishaji wa sarafu kwa ajili ya kuweka na kutoa kwako unafanywa na mtoa huduma wako wa malipo. Kwa mfano, ukiwa na Skrill, kiasi chako cha muamala kitabadilishwa na Skrill. Tafadhali wasiliana na mtoa huduma wako kuhusu viwango vya ubadilishaji vinavyotumika kwa kuweka na kutoa pesa yako.
Hapana. Ili kulinda fedha zako, unakatazwa kabisa kutumia njia za malipo ambazo si zako. Ikiwa utatumia njia ya malipo ya mtu mwingine, tutasimamisha akaunti yako ya Deriv kwa sababu za usalama.
Njia yako ya malipo itaonekana tu kwenye ukurasa wa Utoaji baada ya kufanya uwekaji wako wa kwanza. Ikiwa umeweka pesa lakini bado huoni njia ya malipo kwenye skrini ya Kutoa pesa, huenda ni kwa sababu njia ya malipo uliyotumia kuweka haiwezi kutumika kutoa. Katika hali hii, huenda ukahitaji kutumia njia nyingine ya malipo ambayo pia inaruhusu utoaji wa pesa.
Hapana. Uhamishaji wa fedha unaweza kufanyika tu ndani ya akaunti yako mwenyewe.









