

Deriv Trader
Fanya biashara ya Multipliers kwenye masoko ya kifedha na Derived Indeksi 24/7. Anza na 1 EUR tu na zidisha faida unazoweza kupata bila kupoteza zaidi ya dau lako.

Kwa nini ufanye biashara na Deriv Trader
Fanya maamuzi bora ya biashara

Boresha chati yako na viashiria vya kiufundi na wijeti - kila kitu unachohitaji kufanya maamuzi bora ya biashara.
Fanya biashara jinsi unavyotaka

Chagua thamani ya multiplier, rekebisha biashara yako
kwa kutumia vipengele vya hiari vya multipliers (chukua faida, zuia hasara, na ghairi mpango), na uanze biashara na dau la chini kama $1.


Fanya biashara katika hatua 3 rahisi
Hatua ya 1
Chagua mali

Hatua ya 2
Fuatilia chati

Hatua ya 3
Weka biashara










