Ulinzi
No results
Ninawezaje kuwa salama dhidi ya matapeli kwenye Telegram?
- Usitoe taarifa za akaunti yako au taarifa zako binafsi kwa mtu yoyote kupitia Telegram.
- Kama kitu kinaonekana kizuri sana kuwa kweli, usikiamini.
- Kamwe usipakue apps kupitia Telegram.
- Kagua file zote kupitia antivirus iliyosasishwa kwanza kabla ya kuzipakua.
- Hakikisha umejiunga na Deriv group sahihi kwenye Telegram.
- Ikiwa umewasiliana na mtu anayeweza kuwa tapeli au kama una maswali yoyote, wasiliana nasi kupitia mazungumzo mubashara.
Mifano ya ujumbe toka kwa matapeli:










