Je, zipi ni baadhi ya mbinu bora za kuepuka kuhadaiwa/kutapeliwa?
Kumbuka mambo 5 usiyopaswa kufanya:
1. Usibofye viunganishi (links) au kupakua faili papo hapo bila tahadhari.
2. Usitoe taarifa zako binafsi.
3. Usichukue hatua kwa haraka ikiwa unashinikizwa kufanya hivyo.
4. Usijibu barua pepe, simu na jumbe unazotilia mashaka.
5. Usiogope kuwasiliana na Msaada kwa Wateja ikiwa una mashaka au wasiwasi wowote.









