Je, ninawezaje kutambua barua pepe ya hadaa?
Baadhi ya viashiria vya hatari katika barua pepe za hadaa:
- Anwani ya barua pepe ya mtumaji haiishi na @deriv.com.
- Makosa ya tahajia na kisarufi.
- Wanakwambia ubofye viunganishi (link) na viambatisho vinavyotiliwa shaka.
- Ahadi ya kupata pesa kwa urahisi na faida kubwa.
- Maombi ya kuchukua hatua za haraka kama vile kuhamisha pesa zako kwenye akaunti ya benki.










