Deriv MT5
No results
Kwa nini nafasi zangu za Deriv MT5 zinaanza kila wakati na hasara?
Hii ni kutokana na spread ambayo ni tofauti kati ya bei za ‘kununua’ na za ‘kuuza’. Nafasi zako zitaanza kupata faida pale soko litakapohama katika mwelekeo wako.
Makala katika sehemu hii









